• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Pendekezo la Ukanda moja na Njia moja linasaidia ongezeko la uchumi la nchi husika

    (GMT+08:00) 2018-04-19 20:29:17

    Zaidi ya asilimia 90 ya benki kuu za nchi 26 zilizoko kwenye Ukanda Mmoja na Njia Moja zinaona kuwa pendekezo hilo litasaidia kuhimiza uchumi wao katika miaka 5 ijayo, na nchi nyingi ziliunga mkono mashirika ya pande mbalimbali yaliyoongozwa na China.

    Hayo yamo kwenye ripoti iliyotolewa jana na Baraza la Fedha la Kimataifa na gazeti la Benki Kuu ya Uingereza ya uchunguzi wa miaka 5 ya pendekezo la Ukanda Mmoja na Njia Moja. Akizungumza na waandishi wa habari, Naibu mwenyekiti wa Baraza la Fedha la Kimataifa Bw. Zhou Yanli amesema, zaidi nusu ya benki kuu ziliyohojiwa zinaona kuwa pendekezo hilo limetoa fursa nzuri isiyopatikana zamani kwa maendeleo ya nchi mbalimbali, ikimaanisha kuwa pendekezo hilo litawanufaisha watu zaidi bilioni 1.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako