• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China itaingiza utaratibu wa kutoa adhabu ya kufidia ili kuongeza gharama za kukiuka sheria

    (GMT+08:00) 2018-11-05 11:16:06

    Rais Xi Jinping amesema huko Shanghai kuwa, ili kujenga mazingira ya kiwango cha juu ya uendeshaji wa biashara ya kimataifa, China itaadhibu kithabiti kwa mujibu wa sheria vitendo vya kukiuka haki na maslahi halali ya wafanyabiashara, hasa vitendo vya kukiuka hakimiliki ya ubunifu, kuongeza ufanisi wa kuthibitisha sifa ya hakimiliki ya ubunifu, kuingiza utaratibu wa kutoa adhabu ya kufidia ili kuongeza gharama za kuvunja sheria.

    Rais Xi amesema, China itaharakisha kazi ya kutoa sheria na kanuni kuhusu wafanyabishara kuwekeza China, kukamililsha mfumo wazi wa sheria zinazohusiana na nje, kuheshimu kanuni za kawaida za kimataifa za uendeshaji biashara, na kuzitendea kwa usawa kampuni za aina mbalimbali. Aidha anazitaka nchi mbalimbali zitatue pia matatizo yao zenyewe bila kukosoa wengine tu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako