• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Benki ya maendeleo ya Afrika yaunga mkono uwekezaji barani Afrika

    (GMT+08:00) 2018-11-08 09:45:40

    Mkurugenzi wa benki ya maendeleo ya Afrika AfDB Bw. Akinwumi Adesina, amesema mashirika ya fedha yanaunga mkono Afrika wakati bara hilo linajaribu kuvutia uwekezaji na kukabiliana na changamoto zilizopo kuhusu miundombinu.

    Bw. Adesina ameyasema hayo kwenye kongamano la uwekezaji barani Afrika lililofanyika mjini Johannesburg, Afrika Kusini.

    Amesema kuwa Afrika ina maliasili nyingi, kama vile madini, mafuta na kilimo, wanapenda kuhimiza uwezo wa Afrika katika kukabiana na changamoto za miundombinu. Mashirika ya fedha yanaunga mkono Afrika, kuwa sehemu inayoweza kuwekezwa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako