• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China kuongeza bajeti kwa asilimia 25 katika kuzuia na kudhibiti uchafuzi wa hewa

    (GMT+08:00) 2019-03-05 11:58:12

    Mswada wa bajeti utakaowasilishwa kwenye mkutano wa bunge la umma la China, unasema serikali ya China itatenga yuan bilioni 25, ikiwa ni sawa na dola za kimarekani bilioni 3.73, kwa ajili ya kuzuia na kudhibiti uchafuzi wa hewa mwaka huu, likiwa ni ongezeko la asilimia 25 kuliko mwaka jana.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako