• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mkutano wa Pili wa Bunge la 13 la Umma la China kujadili miswada ya maamuzi mbalimbali

    (GMT+08:00) 2019-03-13 19:33:03

    Mkutano wa Pili wa Bunge la 13 la Umma la China utajadili miswada ya maamuzi kuhusu ripoti ya kazi ya serikali, mipango ya mwaka, bajeti ya mwaka, na kuitisha mkutano wa tatu wa jopo la wenyekiti.

    Pia utaandaa mkutano wa wajumbe wote, kujadili miswada mbalimbali, na waraka kuhusu upigaji kura wa mswada wa Sheria ya uwekezaji wa kigeni. Aidha, mkutano huo pia utafanya uamuzi kuhusu Halmashauri ya Bunge la Umma la China kukubali ombi la Bw. Zhang Shunrong kujiondoa kutoka wadhifa wa mjumbe wa halmashauri hiyo, na kuitisha mkutano wa nne wa jopo la wenyekiti.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako