Shirika la chakula na kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) limetoa tahadhari kuwa hali ya uvamizi wa nzige wa jangwani na kuzaliana kwa wadudu hao inaendelea kutishia usalama wa chakula na maisha ya watu hasa nchini Kenya, Ethiopia na Somalia.
Kwenye taarifa iliyotolewa jana, FAO imesema hali ya uvamizi wa nzige nchini Kenya, Ethiopia na Somalia "inatisha sana", na nchini Uganda na Tanzania tatizo hilo si kubwa.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |