• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Beki wa Tunisia ahukumiwa kwenda jela

    (GMT+08:00) 2020-05-01 17:00:38

    Beki wa zamani wa club ya Zamalek ya Misri Hamdi Nagguez, 27, amehukumiwa kifungo cha miezi minne jela kwa kosa la kumtolea hadharani lugha ya matusi afisa wa umma wa wizara ya mambo ya ndani ya Tunisia. Hamdi amepewa adhabu hiyo sambamba na faini ya dola 35,000 sababu ya kumtukana afisa huyo baada ya kuombwa leseni ya gari na kukutwa hana wakati kukiuka na zuio la serikali. Kosa hilo Hamdi alitenda April 22 akiwa Tunisia katika mji wa Sousse. Hamdi alicheza kwa miaka miwili Zamalek kabla ya December 2019 kuamua kuvunja mkataba na kurejea kwao sababu kutokulipwa malimbikizo ya mshahara wake.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako