• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Xi Jinping wa China ahutubia Mkutano wa viongozi wa Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya Huduma

    (GMT+08:00) 2020-09-04 20:32:00

    Mkutano wa viongozi wa Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya Huduma ya China ya mwaka 2020 umefanyika leo tarehe 4 hapa Beijing.

    Rais Xi Jinping wa China akihutubia kwenye mkutano huo kwa njia ya video, ametoa mapendekezo matatu kuhusu ushirikiano wa kufungua mlango katika sekta ya utoaji wa huduma, yakiwa ni pamoja na kujenga kwa pamoja mazingira shirikishi na kufungua mlango wa kufanya ushirikiano, kuchochea kwa pamoja msukumo wa ushirikiano unaongozwa na uvumbuzi, na kuweka mazingira ya ushirikiano ya kunufaishana na kupata faida kwa pamoja.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako