Mkutano wa 10 shirika la kilimo barani Afrika AGRA umefunguliwa mjini Kigali nchini Rwanda.
Mkutano huo wa siku nne ambao kwa asilimia kubwa utafanyika kwa njia ya video, unalenga kutafuta suluhu za kuhakikisha kujitosheleza na chakula barani humo.
Maudhui yake ni kuhakikisha mijhi inapata chakula cha kutosha na kuborsha masoko ya chakula.
Zaid ya washiriki 2,000 wanatajariwa kwenye mkutano huo.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |