• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • MTN kuja ya programu ya malipo kwa njia ya simu

    (GMT+08:00) 2020-10-02 19:06:59

    Kampuni ya mawasiliano ya Simu nchini Rwanda MTN inapanga kuzindua programu ya kufanya malipo kwenye simu inayojulikana kama Payment API. Akizungumza na Radio China kimataifa, katibu mkuu mtendaji wa MTN Rwanda Bw Mitwa Kaemba amesema programu hiyo ambayo inawawezesha watu wawili kufanya mawasiliano kwa njia ya video itawafanya wafanya biashara kutafuta njia mwafaka za kufanya malipo kwa kutumia simu. Payment API nia programu ambayo inawawezesha watu wawili kufanya mawasiliano kwa urahisi.Ameongeza kuwa Payment API imejengwa kwa ajili ya kufanikisha mchakato mzima wa kufanya malipo pamoja na kufanikisha malipo kwa bidhaa hasa kwenye manunuzi ya mitandaoni. MTN imesema pindi huduma hiyo itakapoanza basi wafanya biashara pamoja na wajasiriamali watapata fursa nzuri ya kujenga soko lao ambalo litaendana na huduma ya manunuzi kwa njia ya simu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako