• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ukosefu wa ajira kati ya vijana na wahitimu nchini Sudan imekuwa kati ya asilimia 80 hadi 90

    (GMT+08:00) 2020-10-06 18:04:10

    Kulingana na mchambuzi wa uchumi kiwango cha ukosefu wa ajira kati ya vijana na wahitimu nchini Sudan imekuwa kati ya asilimia 80 hadi 90 katika kipindi cha miaka kumi iliyopita.

    ukosefu mkubwa wa ajira kati ya vijana na wahitimu inatajwa kuwa shida ya uchumi ambayo nchi imekuwa ikipitia katika miongo iliyopita, na kwa sera za serikali ya zamani ya elimu na ajira kulingana na 'uwezeshaji *'.

    Ismail mfanyikazi wa zamani wa benki amitaka serikali ifikirie upya sera zake za elimu. Sera ya sasa, ambayo serikali ilirithi kutoka kwa serikali ya Al Bashir, "haitegemei sera ya uchumi mkuu".

    Ukosefu wa ajira miongoni mwa vijana unazidi kupungua kwa kasi nchini Sudan kuliko mahali pengine popote duniani ", Ismail amesema.

    Aidha ametoa wito kwa serikali kuvutia uwekezaji wa kigeni, na kutoa mafunzo kwa wahitimu katika kile uchumi wa nchi inahitaji.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako