• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mkutano wa 3 wa Dijitali wa China wafunguliwa huko Fuzhou mkoani Fujian

  (GMT+08:00) 2020-10-12 19:01:28

  Mkutano wa 3 wa Dijitali wa China umefunguliwa leo katika jiji la Fuzhou mkoani Fujian. Mkutano huo, uliofanyika mtandaoni na nje ya mtandao, utakuwa na sehemu saba, zikiwemo ufunguzi, jukwaa kuu, vikao vidogo, maonyesho ya mafanikio, mashindano ya uvumbuzi, kutangazwa kwa mazingira ya matumizi na ufungwaji. Jukwaa kuu litaonesha mafanikio mapya na uzoefu wa China wa maendeleo ya Dijitali ya China.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako