• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wakulima wadogowadogo ndani ya Afrika Mashariki waomba usaidizi kuboresha kilimo kienyeji

    (GMT+08:00) 2020-10-20 19:21:59

    Wakulima wadogowadogo ndani ya Afrika Mashariki wametoa wito kwa Wanachama wa EAC kuwasaidia boresha mazoe ya ukulima wakienyeji. Wakulima hao chini ya shirika la mwavuli wao Jukwaa la Wakulima Wadogo wa Kusini na Kusini mwa Afrika (ESAFF) wamesema kuwa ukulima wakienyeji ina faida za kiuchumi na kimazingira kwa nchi. Pia wanasema inapunguza uharibifu wa mazingira.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako