• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • TANZANIA: TRA YAONGEZA MATUMIZI STEMPU ZA KIELEKTRONIKI BIDHAA ZA AINA NNE

    (GMT+08:00) 2020-10-26 20:25:52

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetangaza kuanza kutumia stempu za kielektroniki (ETS) katika bidhaa za juisi za matunda na mbogamboga, maji ya kunywa yaliyofungashwa kwenye chupa na bidhaa za filamu na muziki yaani kanda zilizorekodiwa.

    ETS zitaanza kutumika katika bidhaa hizo kuanzia Novemba Mosi mwaka huu, huku ikiwataka wazalishaji wote wenye leseni, waingizaji waliosajiliwa, wasambazaji, wauzaji wa bidhaa zinazotozwa kodi ya ushuru wa bidhaa kuzingatia hilo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako