• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Safaricom kuwa kampuni ya kiteknolojia

    (GMT+08:00) 2020-10-30 19:05:31

    Kampuni ya mawasiliano ya simu Safaricom imesema inapania kuwa kampuni ya kiteknolojia ndani ya kipindi cha miaka mitano huku ikiendelea kutoa suluhisho kwa matatizo ya kifedha kwa wakulima na wafanmya biashara wadogo wadogo. Katibu mkuu mtendaji wa kampuni hiyo Peter Ndegwa amesema kampuni italenga biashara ndogo na kubwa ambazo ni kitovu cha ukuaji wa uvchumi nchini Kenya kwa kutoa huduma zaidi za kifedha. Amesema huduma hizo ni pamoja na kuwawezesha wafanya biashara hao kulipa mishahara kwa kutumia teknolojia yao ya simu pamoja na kulipa wasambazaji bidhaa.Safaricom pia imesema inapania kupanua huduma zake za Inteneti ili kuwasaidia wafanya biashara wadodo wadogo na wakati huo huo kupata mafanikio kwenye biashara zao.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako