• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • FAW yauza zaidi ya magari milioni 3.01 katika miezi 10

    (GMT+08:00) 2020-11-11 18:52:46

    Kampuni inayoongoza ya kutengeneza magari nchini China (FAW), imeuza zaidi ya magari milioni 3.01 katika miezi 10 ya kwanza ya mwaka huu, ongezeko la asilimia 7.8 mwaka kwa mwaka.

    Bidhaa yake inayoongoza ya sedan Hongqi iliuza magari 153,109 katika kipindi hicho, ongezeko la asilimia 102.7 mwaka kwa mwaka.

    Karibu vitengo 439,000 vya malori ya Jiefang viliuzwa, ambayo ni ongezeko la asilimia 44 kwa mwaka. Mauzo ya Hongqi yalizidi magari 100,000 mwaka jana.

    FAW) imeweka malengo ya mauzo ya magari 200,000 mnamo 2020 na 600,000 mnamo 2025.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako