• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wachina watumia pesa nyingi katika siku ya mauzo ya 11/11

    (GMT+08:00) 2020-11-11 19:07:49

    Wateja wa China wametumia pesa nyingi katika siku ya mauzo ya 11/11 hali inayoonesha kufufuka kwa haraka kwa uchumi baada ya janga la virusi vya Corona.

    Mauzo ya Tmall ambayo ni tovuti ya kampuni ya Alibaba ya biashara kwenye wa mtandao wa internet yamefikia dola za Marekani bilioni 56.29 kuanzia tarehe mosi mwezi huu, hadi kufikia saa sita na nusu usiku tarehe 11. Idadi ya oda kwa sekunde moja imefikia laki 5.83 ambayo ni rekodi mpya ya manunuzi mtandaoni. .

    Habari zinasema safari hii watu milioni 800, makampuni laki 2.5 na wafanyabiashara milioni 5 wameshiriki kwenye siku hiyo ya mauzo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako