• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yaihimiza Marekani isitishe mawasiliano ya kiserikali na Taiwan

    (GMT+08:00) 2020-11-12 09:33:29

    Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Bw. Wang Wenbin jana alisema, China imeihimiza Marekani isitishe aina zote za mawasiliano ya kiserikali na Taiwan. Bw. Wang amesema China imeihimiza Marekani ishikilie kanuni ya kuwepo kwa China moja tu, na taarifa tatu za pamoja za China na Marekani, kusitisha aina zote za mawasiliano ya kiserikali na Taiwan, na kuacha kuongeza uhusiano kati yake na Taiwan kwa njia yoyote.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako