• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Vifurushi milioni 675 vyashughuikiwa katika tamasha la mauzo la 11/11 nchini China

    (GMT+08:00) 2020-11-12 18:17:04

    Takwimu kutoka idara ya posta ya China zinaonyesha kuwa, kampuni za usafirishaji wa mizigo za China zimeshughulikia vifurushi milioni 675 nchi nzima katika Novemba 11 ambayo ni tamasha la mauzo la 11/11 nchini China, kiasi ambacho kimeongezeka kwa asilimia 26.16 kuliko mwaka jana.

    Idara hiyo inasema kampuni za usafirishaji wa mizigo zimejiandaa vizuri kwa msimu wa kilele kuanzia mwanzoni mwa Novemba mwaka huu hadi sikukuu ya mwaka mpya wa jadi wa China mwakani, kwa kuboresha uwezo na ufanisi wake wa usambazaji vifurushi, kuhimiza kufunga mizigo bila uchafuzi, na kuimarisha mfumo wake wa kuzuia vijidudu kwenye vifurushi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako