• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kampuni ya mafuta ya Tullow yakamilisha uuzaji wa mali zake Uganda kwenda kampuni ya Total

    (GMT+08:00) 2020-11-12 18:57:38

    Kampuni ya mafuta ya Tullow imekamilisha uuuzaji wa mali zake nchini Uganda kwenda kampuni ya Total kwa gharama ya $500mn.

    Tullow katika taarifa kwenye tovuti yake ilisema kuwa inatarajia kupokea $75mn zaidi wakati Uamuzi wa mwisho wa Uwekezaji utakapochukuliwa katika mradi huo wa maendeleo pamoja na malipo yasiyolingana yanayounganishwa na bei ya mafuta inayolipwa baada ya uzalishaji kuanza.

    Katika taarifa yake ,kampuni ya Tullow imesema kuwa kufungwa kwa shughuli hiyo kunafuata kuridhika kwa hali zote zilizotangazwa tarehe 21 Oktoba 2020,ambazo ni pamoja na utekelezaji wa makubaliano ya ushuru wa kisheria,idhini ya kuhamisha maslahi kwa jumla na uhamishaji wa ushughulikiaji wa kitalu 2.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako