• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Xi Jinping wa China atoa hotuba kwenye Baraza la tatu la Amani la Paris

    (GMT+08:00) 2020-11-13 09:40:08

    Rais Xi Jinping wa China jana alitoa hotuba kwa njia ya video kwenye Baraza la tatu la Amani la Paris, akitoa mwito wa kushikilia mshikamano na kusaidiana katika kupambana kwa pamoja na COVID-19, kuhimiza kufufuka kwa uchumi kwa njia ya uwazi na ushirikiano, na kutetea haki ili kulinda kwa pamoja amani ya dunia. Vilevile ameitaka dunia ijenge jumuiya ya binadamu yenye hatma ya pamoja, na kuwanufaisha zaidi watu duniani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako