• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yawapongeza Joe Biden na Kamala Harris kushinda katika uchaguzi wa Marekani

    (GMT+08:00) 2020-11-13 17:54:50

    Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Bw. Wang Wenbin leo amesema, China siku zote inafuatilia mwitikio wa ndani nchini Marekani na wa jumuiya ya kimataifa kwa uchaguzi mkuu uliofanyika hivi karibuni nchini humo, China inaheshimu chaguo la wamarekani, na kuwapongeza Joe Biden na Kamala Harris kushinda katika uchaguzi huo.

    Bw. Wang pia amesema, China inaelewa matokeo ya uchaguzi wa Marekani yatathibitishwa kwa mujibu wa sheria na itifaki za Marekani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako