• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ufaransa yatangaza kumwua kiongozi wa kijeshi wa Al-Qaida nchini Mali

    (GMT+08:00) 2020-11-13 18:52:28

    Waziri wa majeshi wa Ufaransa Bibi Florence Parly amesema jeshi la Ufaransa limemwua Bah ag Moussa, kiongozi wa kijeshi wa tawi la kundi la al-Qaida kanda ya Afrika Kaskazini nchini Mali.

    Bibi Parly amesema, huu ni mshindi mkubwa katika mapambano dhidi ya ugaidi, ambayo Ufaransa inayaongoza pamoja na washirika wake katika sehemu ya Sahel.

    Ameongeza kuwa Bah ag Moussa ni mtu muhimu wa kundi la harakati za Jihadi katika sehemu ya Sahel, na anachukuliwa kuwajibika na mashambulizi kadhaa dhidi ya watu wa Mali na vikosi vya kimataifa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako