• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kutokomea kwa Corona Tanzania kwasababisha ukosefu wa soko kwa Wafanya biashara wa sabuni

    (GMT+08:00) 2020-11-13 19:39:07

    Wafanyabiashara wa sabuni za maji nchini Tanzania wamesema soko la bidhaa zao kwa sasa linakabiliwa na changamoto kubwa kutokana na ukosefu wa wateja. Wamesema baada ya kuondoka kwa janga la corona, wananchi wengi wamerejelea utamaduni wao wa kutonawa mikono kwa maji na sabuni hali ambayo imesababisha wao kukosa soko. Wamesema wakati nchi ikikabiliwa na janga la corona soko la sabuni ya maji lilikuwa zuri hali ambayo ilipelekea kuzalisha sabuni kwa wingi.

    Licha ya corona kumalizika, wamesema uhamasishaji wa kunawa mikono kwa maji na sabuni hauna budi kuendelezwa ili kuepukana na maradhi mengine ya kuambukiza.

    Pia wamesema licha ya soko la sabuni kushuka, kuna changamoto ya kukosekana kwa vifungashio vya kuhifadhia sabuni za maji.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako