• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa Afrika Kusini atoa wito wa ushirikiano na tahadhari wakati mlipuko mpya wa COVID-19 ukitokea

    (GMT+08:00) 2020-11-18 18:55:23

    Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa ametoa wito wa ushirikiano na tahadhari katika kudhibiti mlipuko mpya wa virusi vya Corona na kujenga upya uchumi.

    Akizungumza kwenye mkutano wa 12 wa kilele wa BRICS uliofanyika kwa njia ya video, rais Ramaphosa amesema mkutano huo unafanyika wakati dunia inakabiliwa na mgogoro, muda unaohitaji ushirikiano na mazungumzo kati ya nchi duniani.

    Amezitaka nchi wanachama wa BRICS na jamii ya kimataifa kuunga mkono mpango wa kichocheo wa kuzisaidia nchi za Afrika kukabiliana na athari za janga la virusi vya Corona.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako