• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • • Hotuba ya rais Xi kwenye mkutano wa kilele wa BRICS yapongezwa sana na waangalizi wa kimataifa 2018-07-28

    Hotuba ya rais Xi Jinping wa China kwenye mkutano wa 10 wa wakuu wa nchi za BRICS imepongezwa sana na wasomi na waangalizi wa nchi hizo na nchi nyingine.

    • Rais Xi Jinping wa China ahudhuria Mkutano wa 10 wa kilele wa BRICS na kutoa hotuba muhimu 2018-07-27
    Mkutano wa 10 wa Viongozi wa nchi za BRICS unaendelea kufanyika mjini Johannesburg, Afrika Kusini. Jana marais wa China, Brazil, Russia pamoja na waziri mkuu wa India walihudhuria mkutano huo na kujadiliana kuhusu ushirikiano kati ya nchi za BRICS na masuala muhimu ya kimataifa wanayoyafuatilia kwa pamoja na kufikia makubaliano.
    • Balozi wa China nchini Rwanda asema ziara ya rais Xi nchini Rwanda itahimiza uhusiano kati nchi hizo mbili  2018-07-21

    Kutokana na mwaliko wa rais Paul Kagame wa Rwanda, rais Xi Jinping wa China ataanza ziara yake rasmi nchini Rwanda tarehe 22 hadi tarehe 23 Julai. Kabla ya ziara hiyo, balozi wa China nchini Rwanda Bw. Rao Hongwei aliwaambia wanahabari wa nchi hizo mbili kuwa, ziara hiyo ya rais Xi Jinping itahimiza uhusiano kati ya China na Rwanda uingie kwenye zama mpya, na kuwanufaisha watu wa nchi hizo mbili.

    • Wananchi wa UAE wafuatilia ziara ya rais Xi Jinping nchini humo 2018-07-20

    Rais Xi Jinping wa China yuko kwenye ziara ya kiserikali ya siku tatu kuanzia jana nchini Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE). Hii ni mara kwanza kwa kiongozi wa China kuizuru nchi hiyo katika miaka 29 iliyopita, na ziara hiyo ina umuhimu mkubwa katika historia ya maendeleo ya uhusiano kati ya nchi hizo mbili. Wananchi wa UAE wanafuatilia na kuisifu sana ziara hiyo ya rais Xi.

    • Rais Paul Kagame wa Rwanda aonesha matumaini yake kwa ziara ya rais Xi Jinping wa China 2018-07-20
    Rais Xi Jinping wa China atafanya ziara ya kihistoria nchini Rwanda hivi karibuni, rais Paul Kagame wa Rwanda amepokea mahojiano ya pamoja ya vyombo vya habari vya China mjini Kigali, akieleza matarajio yake kwa ziara hiyo ya rais Xi , kupongeza ushirikiano kati ya nchi hizo mbili katika sekta mbalimbali, na kusifu nadharia ya kujenga Jumuiya ya binadamu yenye hatma ya pamoja, na pendekezo la "Ukanda mmoja, Njia moja".
    • China na UAE zashirikiana kujenga njia ya "Ukanda Mmoja na Nchi Moja" ya kunufaishana 2018-07-19
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako