Afrika ni bara la muziki, muziki ni njia ya kuonesha upendo kuhusu maisha
1. Walimu na wanafunzi wa chuo cha Confucius cha Chuo Kikuu cha pili cha Yaoundé nchini Cameroon wakicheza ngoma (Wu Xiukui)
2. Walimu na wanafunzi wa chuo cha Confucius cha Chuo Kikuu cha Cairo, Misri wakicheza ngoma
3. Wanafunzi wa chuo cha Confucius cha Chuo Kikuu cha Zambia na Chuo Kikuu cha Mulungushi walifanikiwa kucheza ngoma ya mtindo wa kabila la Wauygur la China. (Zhang Hongwei)
4. Wanafunzi wa Chuo cha Kamuzu cha Malawi wakicheza ngoma (Wang Hailu)
5 na 6. Watoto wa Msumbiji wakicheza ngoma (Wu Ying)
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |