1 Sikukuu ya bulrush inayofanyika mwezi Septemba ni sikukuu maarufu na kubwa zaidi ya Wazulu nchini Afrika Kusini. ( Picha na Wu Zhixian)
2 Wasichana wa Kizulu waliovaa mavazi ya kikabila wanaenda kasiri ya mfalme wakichukua bulrush. ( Picha na Wu Zhixian)
3 Mashindano ya ngoma ( Picha na Wu Zhixian)
4 Mazoezi ya ngoma ya jadi nchini Burundi ( Picha na Liu Lin)
5 Ngoma ya hadharani katika sikukuu ya wachawi ya pwani nchini Tobo ( Picha na Chen Meilan)
6 Tarehe 11, Septemba ni sikukuu ya mwaka mpya wa jadi ya Ethiopia. ( Picha na Chen Yingchang )
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |