1 Tembo wa kiafrika wanaishi misituni kusini mwa jangwa la Sahara kwa furaha. ( Picha na Liu Yue )
2 Hivi sasa tembo wanakabiliwa na matishio mbalimbali kutokana na vitendo vya binadamu. ( Picha na Wu Shifan)
3 Hali ya tembo wa kiafrika pia inafuatiliwa na wachina. ( Picha na Wu Zhixian )
4 Kampuni ya ujenzi ya China yafanya kampeni ya kulinda Tembo nchini Kenya.
5 Mchezaji maarufu wa mpira wa kikapu wa China Yaoming ni "balozi wa kulinda Tembo wa kiafrika".
6 Kuanzia tarehe mosi mwezi Januari mwaka 2018, China imepiga marufuku kitendo chochote cha kutengeneza na kuuza pembe za ndovu. ( Picha na Ma Jingyi )
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |