• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mfumo wa Nyumba Kumi unaweza kuwa "dawa yenye ufanisi ya kuzuia maambukizi ya virusi"

    (GMT+08:00) 2020-05-27 15:49:02


    Katika karne ya 21, binadamu tunakabiliwa na changamoto nyingi za usalama, na mlipuko wa COVID-19 umetutahadharisha kuwa tunahitaji kubadilisha mitazamo ili kukabiliana na changamoto, haswa kutambua umuhimu wa raia na uonmgozi wa mitaa katika kuhimiza utaratibu wa jamii kupata maendeleo kwa hatua madhubuti.
    Uzoefu iliopata China katika kuzuia maambukizi ya COVID-19 umeonesha kuwa, hatua ya China ya kuzihusisha serikali za mitaa katika kazi ya kuzuia maambukizi ya virusi, na kuchukua hatua mbalimbali za kuhakikisha maisha ya kawaida ya wakazi imepata ufanisi. Serikali za mitaa ikiwa ni sehemu ya msingi ya jamii na maisha ya wakazi, zimefanya kazi muhimu ya ya kuzuia na kudhibiti maambukizi ya virusi kwenye mitaa, pia ni mstari wa mbele kwenye mapambano dhidi ya virusi.
    Makala iliyotolewa kwenye Gazeti la Kenya the East African inaona kuwa, ukiwa utaratibu wa ulinzi wa Nyumba Kumi utatumiwa kwa ufanisi, utaonesha umuhimu mkubwa katika kazi ya kuzuia na kudhibiti maambukizi ya virusi nchini humo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako