Bw. Mohamed Mohamoud Guled ambaye ni "Waziri mkuu" aliyeteuliwa juzijuzi na rais Abdulah Yusuf wa Somalia tarehe 24 ametangaza kujiuzulu, kwa sababu hataki kuchukuliwa kuwa ni kikwazo cha kuzuia mchakato wa amani ya Somalia.
Bw. Guled siku hiyo huko Baidoa alitangaza uamuzi wake wa kujiuzulu, lakini bado haijajulikana kwamba rais Yusofu amekubali ombi lake la kujiuzulu au la.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |