• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Fadhili Mpunji
  • Internet yawa moja ya maeneo ambayo ni fursa ya maendeleo kwa watumiaji
  Mkutano kuhusu maendeleo ya internet duniani umefunguliwa leo katika mji wa Wuzhen, Mkoani Zhejiang kusini mwa China. Mkutano huu wa kila mwaka unafanyika wakati China inapata maendeleo ya kasi kwenye teknolojia ya mawasiliano na habari, na inashirikiana na nchi mbalimbali za Afrika kupiga hatua kwenye eneo hilo.
  • Internet yawa moja ya maeneo ambayo ni fursa ya maendeleo kwa watumiaji

  Mkutano kuhusu maendeleo ya internet duniani umefunguliwa leo katika mji wa Wuzhen, Mkoani Zhejiang kusini mwa China. Mkutano huu wa kila mwaka unafanyika wakati China inapata maendeleo ya kasi kwenye teknolojia ya mawasiliano na habari, na inashirikiana na nchi mbalimbali za Afrika kupiga hatua kwenye eneo hilo. Kauli mbiu ya mkutano wa mwaka huu ni "Uvumbuzi unaoeleta maendeleo ya kunufaisha wote – kujenga jamii yenye mustakbali wa pamoja kwenye mtandao wa internet ".

  • Mafanikio na Changamoto mpya za Sera ya Mtoto mmoja wa China

  KWA muda wa zaidi ya miaka 35 sasa nchi ya China imekuwa inafuata Sera ya Mtoto mmoja, sera ambayo lengo lake kubwa ni kudhibiti ongezeko kubwa la idadi ya watu, ambalo China iliona kuwa ni changamoto kwa familia na kwa serikali. Mwanzoni wakati sera hii inaanza kutekelezwa kulikuwa na maswali kama kweli itakuwa na ufanisi na kama kweli inaendana na utamaduni wa wachina.

  More>>
  Gloria Ngahyoma
  • Maonyesho mbalimbali kukaribisha mwaka mpya wa jadi wa China mjini Zhaoqing 4
  • Maonyesho mbalimbali kukaribisha mwaka mpya wa jadi wa China mjini Zhaoqing 3
  • Maonyesho mbalimbali kukaribisha mwaka mpya wa jadi wa China mjini Zhaoqing 2
  More>>
  Ronald Mutie
  • Uchumi wa China wahimizwa na matumizi ya Mtandao wa Internet

  Kwa sasa sikukuu nyingi nchini China zinachukuliwa na wafanyabiashara kama fursa ya biashara, hasa wafanyabiashara wenye maduka kwenye mtandao wa Internet maarufu kama Online shopping.

  More>>
  Theopista Nsanzugwanko
  • "Ukanda Mmoja na Njia Moja" kuongeza wataalamu Afrika kupitia ushirikiano katika Elimu kati yake na China

  UKIFIKA nchini China katika miji mbalimbali utakutana na idadi kubwa ya waafrika wengi lakini licha ya kuwepo wafanyabishara wengi wao ni wanafunzi. Idadi kubwa ya waafrika katika vyuo mbalimbali nchini China inadhihirisha wazi kuhusu ushirikiano katika sekta ya elimu baina ya nchi za Afrika na China.

  • Pendekezo la Ukanda Mmoja na Njia Moja lakutanisha wawewekezaji 100 kutoka China kuhamasisha uwekezaji Tanzania

  TANZANIA na China imekuwa na mahusiano ya muda mrefu katika sekta mbalimbali ukiwemo uhusiano wa Kidplomasia, kiuchumi, kisiasa pamoja na kijamii.

  • "Ukanda Mmoja na Njia Moja" fursa kwa Afrika kuunganishwa na nchi nyingine duniani kwa Miundombinu
  NCHI za Afrika zimekuwa zikikabiliwa na matatizo mengi ya miundombinu jambo lililofanya kuwa ngumu kwa kuunganisha bara hilo kutoka nchi moja hadi nyingine.
  More>>
  Eric Biegon
  • Waziri wa Usafiri Kenya asema matunda ya Mkanda Mmoja Njia Moja tayari yanaonekana

  Mwezi Mei, duniani yote ilielekeza macho yake kuelekea Mjini Beijing kwa sababu ya tukio kubwa ya kihistoria iliyokuwa ikiendelea katika mji huo mkuu wa China. Serikali mbalimbali na mashirika ya kimataifa yalikuwa hapa kushuhudia kuzaliwa kwa mpango wa maendeleo wa Mkanda Mmoja Njia Moja.

  • Afrika yajiunga na China wakati dunia umeweka uhai ndoto ya Mkanda Mmoja Njia Moja

  Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya na Waziri Mkuu wa Ethiopia Hailemariam Desalegn ni miongoni mwa viongozi 29 wa nchi zilizokongamana Beijing kupumulia uhai pendekezo la Mkanda Mmoja Njia Moja.

  • Afrika itafanya vyema kuukumbatia pendekezo la Ukanda Mmoja na Njia Moja

  Rais wa China Xi Jinping alipendekeza na kukuza pendekezo la Ukanda Mmoja na Njia Moja (One Belt One Road) miaka 3 iliyopita, akiutangaza kama kielelezo mpya ya ushirikiano ambayo itachochea maendeleo ya pamoja na mafanikio. Dhahiri, hii imekuwa kipengele muhimu zaidi ya sera za kigeni ya China. Wengi wanautambua kama mchango wa China kwa utaratibu mpya wa dunia.

  More>>
  Elias Ibrahim Mhegera
  China imejikomboa hatua kwa hatua katika kunyanyua uchumi na kupambana na umaskini ni vyema wengine wajifunze kutokana na uzoefu huo (SEHEMU YA TATU)

  Kulingana na uzoefu wa China, watu wanaoutumikia mfuko wa kupambana na umaskini wamegawanyika katika makundi matatu; kwanza ni wale wenye ajira za kudumu, pili ni wale wa muda na tatu ni washauri ambao hawajaajiriwa lakini hulipwa kutokana na kazi zao za kitaalamu kila wanapozitoa kwa taasisi hiyo.

  China imejikomboa hatua kwa hatua katika kunyanyua uchumi na kupambana na umaskini ni vyema wengine wajifunze kutokana na uzoefu huo [Sehemu ya pili]

  Kuna mazingira yalijengwa ili kupata uhalali wa uamuzi huo kwamba ujamaa umeshindwa kwa hiyo inabidi kujaribu njia nyingine ya kuleta maendeleo. Kwa kiwango kikubwa mpaka sasa bado mataifa ya Afrika hayajajikomboa kutokana na dhana hiyo. Kinyume chake taifa la China limeendelea kuweka kipaumbele katika sekta ya umma na limefanikiwa sana kwa njia hiyo.

  China imejikomboa hatua kwa hatua katika kunyanyua uchumi na kupambana na umaskini ni vyema wengine wajifunze kutokana na uzoefu huo (Sehemu ya kwanza)

  Nchi za Afrika na kwingineko duniani zinatakiwa kuiga mfano wa China katika kupambana na umaskini. Mwandishi wa makala hii ambaye amekuwa nchini China kwa miezi tisa anayo mengi ya kusimulia.

  More>>
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  Maoni yako