• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waafrika washerehekea sikukuu ya Krismasi nchini China

    (GMT+08:00) 2009-01-09 14:57:47

    Sikukuu ya Krismasi imemalizika, na mwaka 2009 unakaribia. Wapo waafrika wengi ambao wanasherehekea sikukuu ya Krismasi na mwaka mpya nchini China na jee wageni hao wanasherehekea vipi? Na kuna tofauti gani kati ya China na nchi zao katika njia ya kusherekea sikukuu ya Krismasi na mwaka mpya? Katika kipindi hiki tutawaletea mahojiano na wanafunzi kadhaa kutoka Afrika Mashariki kuhusu suala hilo.


    1 2 3 4
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako