• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wanafunzi ni kama mabalozi wa urafiki kati ya China na Afrika

    (GMT+08:00) 2009-01-16 16:37:14

    Katika miaka 60 iliyopita tangu Jamhuri ya watu wa China ianzishwe, hususan tangu sera ya mageuzi na kufungua mlango kwa nchi za nje itekelezwe nchini China mwaka 1978, uhusiano wa kirafiki kati ya China na nchi za Afrika ulikuwa umeendelezwa vizuri, na mafanikio mengi yamepatikana katika mawasiliano ya elimu kati ya pande hizo mbili. Hadi sasa, China imeanzisha uhusiano wa mawasiliano na ushirikiano katika mambo ya elimu kwenye ngazi mbalimbali na nchi zaidi ya 50 barani Afrika. Wakiwa watu wanaosoma daraja la urafiki kati ya China na Afrika, wanafunzi wa China wanaojifunza katika nchi za Afrika na wanafunzi wa Afrika wanaosoma nchini China wamefanya kazi kubwa. Katika kipindi cha leo, tutawajulisha wanafunzi hao.


    1 2 3 4 5
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako