• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Bw. Gasto: "Nawashukuru CRI kwani nimepata zawadi ya T-shirt nzuri sana!"

    (GMT+08:00) 2009-02-04 17:29:22

    Mini ni Gasto Francis Mkawe. Ni Mhandisi wa miondombinu ya maji – Water infrastructure Engineer. Nafanya kazi katika Mamlaka ya majisafi na majitaka mjini Arusha kama Mhandisi mipango na ujenzi.

    Nimefurahi sana kwa kuwa mshindi kwenye mashindano ya "Chagua habari 10 duniani mwaka 2008". Nawashukuru CRI kwani nimepata zawadi ya T-shirt nzuri sana. Maoni yangu ni kwamba mjaribu kurusha matangazo yenu kupitia local radios za FM kama ilivyo BBC na stesheni nyingine. Nitafurahi sana kama tunaweza kuwasikia kupitia Masafa ya FM. Nawatakia kazi njema.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako