• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ninanufaika na mawasiliano ya elimu kati ya China na Afrika

    (GMT+08:00) 2009-03-06 14:47:47

    Hassan Kombo kutoka Zanzibar sasa ni mwanafunzi wa Chuo kikuu cha Jilin, amekuja hapa China kwa miezi kadha. Kabla ya kufika China, Hassan alikuwa ni mwandishi wa habari wa Sauti ya Tanzania Zanzibar, alisema ananufaika na mawasiliano ya elimu kati ya China na Afrika, kwani alipewa udhamini wa masomo nchini China. Hassan alisema baada ya kuhitimu masomo katika chuo kikuu cha Jilin, atarudi Tanzania kuhudumia vizuri zaidi ujenzi wa nchi yake. Katika kipindi hicho, Hassan vilevile alieleza maoni yake kuhusu ziara iliyofanywa na rais Hu Jintao wa China nchini Tanzania mwezi Februari.

     

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako