• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Said:  Maisha yangu nchini China

    (GMT+08:00) 2009-03-13 15:50:08

    Said ameishi nchini China kwa miaka minane, aliwahi kusoma katika chuo kikuu cha Jiangnan, Wuxi kwa miaka mitano, baadaye alikwenda Shanghai, akafanya kazi katika kampuni moja. Sasa yeye ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha posta na simu cha Beijing. Katika kipindi hicho, Bw. Said anawaambia wasikilizaji wetu namna ya kujifunza lugha ya Kichina, na kuwajulisha hali ya masomo na misha yake nchini China.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako