• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tizi Ouzou-Askari wanne wa jeshi la serkali ya Algeria wauawa katika mashambulizi

    (GMT+08:00) 2009-03-17 10:59:16

    Vyombo vya habari vya Algeria vilitoa habari kuwa, askari wanne wa jeshi la serikali ya Algeria tarehe 16 waliuawa katika mashambulizi ya watu wenye silaha mkoani Tizi Ouzou na wengine wanne walijeruhiwa.

    Siku hiyo alasiri, watu wenye silaha waliushambulia msafara uliokuwa wa jeshi la serikali ukisafirisha vyakula kwenye kambi ya kijeshi kwenye barabara iliyo karibu Tadmait mkoani Tizi Ouzou. Jeshi la serikali lilipambana na watu hao wenye silaha na kuzuia mashambulizi yao.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako