Rais wa Mauritania aliyepinduliwa Bw. Sidi Mohamed Ould Cheikh Abdallahi tarehe 9 huko Lemden alipohojiwa na waandishi wa habari alisema, hatashiriki kwenye uchaguzi wa rais wa Mauritania utakaofanyika tarehe 6 Juni.
Bw. Abdallahi alisema, "huu ni mchezo unaoandaliwa na upande mmoja tu wa utawala wa kijeshi, ambao unakwenda kinyume na katiba, na hauna maana hata kidogo."
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |