• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wafanyakazi wa KBC watembelea idhaa ya kiswahili CRI

    (GMT+08:00) 2009-08-07 17:12:39

    Wafanyakazi wa Shirika la Utangazaji la Kenya KBC Bwana Amosi Omondi anayetoka idara ya Ufundi, na Bwana Masha Mbura anayetoka chuo cha utangazaji cha Shirika la Utangazaji la Kenya KBC, wamekuja hapa Beijing kushiriki kwenye semina inayohusu teknolojia za Utangazaji kwa nchi zinazoendelea, inayowashirikisha watu wanaofanya kazi kwenye vyombo vya habari kutoka nchi za Asia, Afrika na Amerika kusini.

    Bw Omondi na Bw Mbura wamesema wamefurahia mengi waliyojifunza kwenye semina hii, na pia wamefurahia kujionea mengi yanayohusu maendeleo ya teknolojia ya utangazaji ya China.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako