• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wasikilizaji wetu wakutana na wafanyakazi wa CRI mjini Dar es salaam

    (GMT+08:00) 2010-05-11 10:27:40

    Hivi karibuni wasikilizaji wetu wa mkoani Morogoro walibahatika kukutana na wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya Radio China Kimataifa huko mjini Dar es salaam, na kufanya mazungumzo kuhusu usikivu wa matangazo yetu

    Picha ya Kwanza- Bi Upendo Li wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI akiwa na msikilizaji wetu Bw Lenus Kingalu wakipata chakula cha mchana kwenye mkahawa wa Hill Park, Chuo Kikuu cha Dar es salaam.

    Picha ya Pili- Msikilizaji wetu maarufu wa mkoani Morogoro Bwana Mchana J Mchana akitoa salamu kwa wasikilizaji wenzake baada ya kufanya mahojiano na Bwana Fadhili Mpunji mjini Dar es salaam. Bwana Mchana amewataka wasikilizaji wa CRI kutoka kila pembe ya dunia kuendelea kushikamana na kuwasiliana mara kwa mara.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako