• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa China akutana na waziri mkuu wa Ujerumani

    (GMT+08:00) 2010-07-16 17:58:24

    Rais Hu Jintao wa China tarehe 16 hapa Beijing amekutana na waziri mkuu wa Ujerumani Bi Angela Merkel, ambaye yupo ziarani nchini China.

    Rais Hu Jintao amesema China inapenda kushirikiana na Ujerumani kuongeza uaminifu wa kisiasa na ushirikiano wa uchumi na biashara, kupanua mawasiliano ya utamaduni na ushirikiano wa kimataifa, kukabiliana na changamoto inayoikabili dunia nzima, na kuhimiza uhusiano wa kimkakati na kiwenzi kati ya China na Ujerumani uendelezwe siku hadi siku, ili kutoa mchango kwa ajili ya kulinda amani ya dunia na kuhimiza maendeleo ya pamoja.

    Bi Merkel amesema Ujerumani inapenda kuhimiza uhusiano wa kimkakati na kiwenzi kati yake na China uendelezwe kwenye kiwango cha juu zaidi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako