• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Johnnesburg-Kiwango cha maendeleo ya binadamu nchini Afrika Kusini chapanda

    (GMT+08:00) 2011-01-27 11:14:50

    Ripoti iliyotolewa tarehe 26 na taasisi ya uhusiano wa makabila ya Afrika Kusini inasema, kiwango cha maendeleo ya binadamu nchini Afrika Kusini kimepanda.

    Ripoti hiyo inasema kiwango hicho kilishuka kuanzia mwaka 1990 hadi 2005, kutokana na kushuka kwa makaridio ya miaka ya maisha ya raia wa Afrika Kusini kulikosababishwa na kuenea kwa ugonjwa wa Ukimwi. Lakini tangu mwaka 2007 kiwango hicho kitaanza kupanda tena.

    Ripoti hiyo inasema hii inaonesha kuwa hatua zilizochukuliwa na serikali ya Afrika katika kupambana na virusi vya Ukimwi zimepata mafanikio makubwa, na kuhimiza kupanda kwa kiwango cha maendeleo ya binadamu nchini humo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako