• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya

  • Nguvu ya kijeshi ya China inalenga kulinda uhuru, mamlaka ya nchi na ukamilifu wa ardhi
    More>>
    Habari
    • Vyombo vya habari vya nchi za nje vyafuatilia ufungaji wa mikutano miwili ya China 2011-03-15
    • Mkutano wa mwaka wa bunge la umma la China wafungwa 2011-03-14
    • Mkutano wa 4 wa Baraza la 11 la mashauriano ya kisiasa la China wafungwa 2011-03-13
    • China yafanya juhudi kushiriki kwenye mambo ya kidiplomasia ya pande nyingi
     2011-03-08
    • China kutumia theluthi mbili ya bajeti yake katika mwaka 2011 ili kuboresha maisha ya watu 2011-03-07
    More>>
    Picha
    More>>
    Maelezo
    • Waziri wa mambo ya nje wa China akutana na waandishi wa habari

    Tarehe 7 asubuhi kwenye mkutano wa mwaka wa Bunge la umma la China, waziri wa mambo ya nje wa China Bw. Yang Jiechi amekutana na waandishi wa habari akieleza kwa pande zote sera ya kidiplomasia ya China, na kuonesha imani na kazi ya kufuata hali halisi katika mambo ya kidiplomasia ya China.

    • Mpango wa 12 wa maendeleo ya uchumi na jamii unahusiana na maendeleo ya uchumi na kujiendeleza kwa watu
    Katika ripoti ya kazi za serikali, waziri mkuu wa China Bw Wen Jiabao alipofafanua malengo kadhaa kwenye mpango huo wa maendeleo alisema, lengo la ongezeko la uchumi wa China litafikia 7 % kwenye msingi wa kuinua sifa na ufanisi wa ongezeko la uchumi. Thamani ya nyongeza ya shughuli za huduma itaongezeka kwa 4 %. Na eneo la nyumba za kukidhi mahitaji ya watu wenye mapato ya chini mijini litafikia 20 % hivi.
    • Wajumbe wa Baraza la mashauriano ya kisiasa wajitahidi kutoa maoni na mapendekezo kuhusu mpango wa maendeleo
    Baraza la mashauriano ya kisiasa la umma la China ni chombo cha juu cha China cha kufanya mashauriano ya kisiasa, ambapo limewakusanya watu wengi hodari wa hali mbalimbali kwenye jamii ya China. Kwenye mkutano wa baraza hilo uliofanyika mwaka mmoja uliopita, baraza hilo lilipata mapendekezo zaidi ya 650 kuhusu mpango wa 12 wa maendeleo ya miaka mitano ijayo.
    • Baraza la mashauriano ya kisiasa litajitahidi kutoa maoni na mapendekezo kuchagia utekelezaji wa mpango wa maendeleo
    Mwenyekiti wa baraza hilo Bw. Jia Qinglin kwa niaba ya Halmashauri ya kudumu ya baraza hilo ametoa ripoti ya kazi.Akijulisha kazi zilizofanywa na baraza hilo katika mwaka uliopita alisema, baraza hilo lilijitahidi kusawazisha uhusiano kwa pande zote, kukusanya nguvu, kutoa maoni na mapendekezo na kuhudumia mambo makuu ya nchi, ili kusaidia kuhimiza maendeleo ya uchumi na jamii ya China. Bw. Jia amesema, Baraza la mashauriano ya kisiasa la China litafanya juhudi zaidi kutoa maoni na mapendekezo kwa ajili ya utekelezaji wa mpango wa 12 wa maendeleo ya uchumi na jamii .
    More>>
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako