• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Je, ni bora kuolewe na mtu tajiri au kujitahidi binafsi na kupata mafanikio?

    (GMT+08:00) 2011-08-14 20:29:52

    Kadiri siku zinavyoenda ndivyo mambo yanavyobadilika, siku hizi tunakuta mwanamke atafute mtu tajiri aolewe naye ili apate kila kitu, lakini akisema hangaike mwenyewe hapendi, sasa swali limekuja, je, ni bora kuolewe na mtu tajiri au kujitahidi binafsi na kupata mafanikio, kipindi hiki cha Sauti ya Wanawake kitazungumzia suala hilo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako