• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yaongeza nguvu ili kupata soko jipya

    (GMT+08:00) 2012-02-21 19:03:08

    Naibu waziri wa biashara ya China Bw. Zhongshan amesema China itaongeza jitihada zaidi ili kupata soko jipya, hususan katika nchi zinazoendelea.

    Ofisa huyo amesema katika kutekeleza mkakati wa kupata soko jipya, nchi zipatazo 30 zitapewa kipaumbele, ili ifikapo mwaka 2015, thamani ya biashara kati ya China na masoko yasiyo ya Ulaya, Marekani, Japan na Honkong iongezeke kwa asilimia 5.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako