• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ongezeko la uchumi wa China yakadiriwa kupungua mwaka huu

    (GMT+08:00) 2012-02-24 16:57:15

    Mkurugenzi wa kituo cha utafiti wa maendeleo cha Baraza la serikali la China Bw. Li Wei amesema mazingira ya nchini na duniani yanaleta utatanishi mkubwa kwa maendeleo ya uchumi wa China kwa mwaka huu. Hii inatokana na kuongezeka kwa hali nyingi zisizojulikana, hivyo kuna changamoto kubwa ya kupungua kwa ongezeko la uchumi mwaka huu. Kwa mujibu wa hali hii, inakadiriwa kuwa mwaka huu ongezeko la uchumi wa China litakuwa asilimia 8.5 hivi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako