• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wajumbe wa bunge la umma la China kutekeleza majukumu kwa mujibu wa sheria ni njia ya kutimiza demokrasia yenye umaalumu wa China

    (GMT+08:00) 2012-03-04 20:07:14

    Nchini China kuna wajumbe wapatao milioni 2.7 wa Benge la umma kwenye ngazi ngazi mbalimbali, ambao wanafanya utafiti na uchunguzi kwa kina, huku wakikusanya maoni ya raia, halafu wanatoa mapendekezo, na maoni ya kukosoa hali zisizo sahihi, ili kuhimiza na kusaidia serikali ya China kutoa sera muhimu na kuzitekeleza. Mchakato wa kutekeleza jukumu kwa mujibu wa sheria kwa wajumbe hao umekuwa njia ya kutimiza demokrasia yenye umaalum wa China.

    Habari zinasema katika mkutano wa nne wa bunge la umma la China la awamu ya 11 uliofanyika mwaka jana, wajumbe wa bunge hilo walitoa maoni na mapendekezo yapatao 8043, hili ni ongezeko la asilimia 6 kuliko mwaka juzi, na ni mengi zaidi kuliko yale kwenye mikutano ya awamu zilizopita.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako