• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Zaidi ya wanahabari 1700 kutoka nje kuripoti Mkutano mkuu wa 18 wa Chama cha Kikomunisti cha China

    (GMT+08:00) 2012-11-07 10:16:34

    Zaidi ya wanahabari 1700 kutoka nchi za nje pamoja na Hongkong, Makau na Taiwan wamejiandikisha kuripoti Mkutano mkuu wa 18 wa Chama cha Kikomunisti cha China, kiasi ambacho kimezidi kile katika mkutano huo miaka mitano iliyopita.

    Hayo yamesemwa na mkurugenzi wa kituo cha waandishi wa habari cha mkutano mkuu wa 18 wa Chama cha Kikomunisti cha China Bw. Zhai Huisheng wakati akizungumza katika hafla iliyofanyika jana kuwakaribisha waandishi wa habari wa nchini na kutoka nchi za nje.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako