• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kamati ya utendaji ya mkutano mkuu wa 18 wa Chama cha Kikomunisti cha China yaitisha kikao cha kwanza

    (GMT+08:00) 2012-11-07 20:03:50

    Kikao cha kwanza cha kamati ya utendaji ya mkutano mkuu wa 18 wa Chama cha Kikomunisti cha China kimefanyika leo alasiri hapa Beijing.

    Rais Hu jintao wa China amehudhuria kikao hicho na kutoa hotuba muhimu.

    Kikao hicho kimepitisha orodha ya wajumbe 41 wa Halmashauri ya kudumu ya Kamati ya utendaji ya mkutano mkuu wa 18 wa Chama cha Kikomunisti cha China. Pia kikao hicho kimepitisha ripoti ya tume ya uthibitishaji wa wajumbe wa mkutano huo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako